FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Ushindii wa Orlando Pirates dhidi ya Kaizer Chiefs kwenye Soweto derby leo umeamuliwa kwa penalty ya dakika ya mwisho, na wala hutasikia fujo nyingi huko SA ila ingekuwa ndio derby yetu hii halafu mnyama akapata ushindi wa namna hiyo, nadhani mashabiki wa mwakakundi wangemuua refa na kutaka dunia nzima iingilie kati kuwa wamehujumiwa
 
Mbona Simba anashinda kila mechi je kuna mambo ya ziada Simba hufanya? Mbona ushabiki unawafanya watu hata uwezo wa kufikiria upungue? Timu za Tanzania nyingi zina uwezo mdogo sana ukishindwa kupata point ni uzembe wako ila hawana ushindani labda kidogo Azam. Wewe hushangai Simba imepoteza mechi moja tu dhidi ya Yanga na sare moja pekee kwa michezo zaidi ya 13
Simba huwa ina struggle kupata ushindi unaona kabisa.

Ila Yanga, timu mbovu akija mtu anakula mara 5 au 4 halafu hata aibu hawana aisee.

Walivyo wajinga hawazugi hata mechi moja. Wanashinda zote.
 
Leta timu lako
 
Si

Simba hii hii iliyofungwa mara 4 mfululizo na Yanga?
 
Simba huwa ina struggle kupata ushindi unaona kabisa.

Ila Yanga, timu mbovu akija mtu anakula mara 5 au 4 halafu hata aibu hawana aisee.

Walivyo wajinga hawazugi hata mechi moja. Wanashinda zote.
Ndio maaana nikakwambia unaongozwa na mahaba ya usimba simba. Yanga tokea msimu unaanza alikuwa anapata ushindi kwa mbinde haswa tena ni goli moja moja tu lakini Simba kashinda mara magoli matatu, mara manne mara mawili ni swala la kawaida. Na mwenendo ambao ukapelekea hadi wakapoteza mechi mfululizo na kusababisha aletwe kocha mpya ili timu irejee katika kiwango chake. Sasa hivi mnaanza kupiga kelele kisa Yanga inashinda magoli mengi kuwa inahonga ila kipindi wana struggle huku nyie mnawalambisha watu magoli mengi mlikuwa mnakenua tu.
 
Simba huwa ina struggle kupata ushindi unaona kabisa.

Ila Yanga, timu mbovu akija mtu anakula mara 5 au 4 halafu hata aibu hawana aisee.

Walivyo wajinga hawazugi hata mechi moja. Wanashinda zote.
Kama kweli we unajiweza leta timu yako
 
Simba huwa ina struggle kupata ushindi unaona kabisa.

Ila Yanga, timu mbovu akija mtu anakula mara 5 au 4 halafu hata aibu hawana aisee.

Walivyo wajinga hawazugi hata mechi moja. Wanashinda zote.
We timu lako mbona limeshindwa kuizuia Yanga mara nne mfululizo!

Au unataka kufungwa wewe tu akifungwa Kagera sugar nongwa unapata wivu.
 
Kwani 5imba hachezi NBC premier? Pole kwa maumivu 4 goals
Basi mkubali kuwa kwa sasa hampo katika mashindano yoyote ngazi ya vilabu vya Afrika, ingawa hata Kagera Sugar ni klabu ya Afrika
 
Ushindii wa Orlando Pirates dhidi ya Kaizer Chiefs kwenye Soweto derby leo umeamuliwa kwa penalty ya dakika ya mwisho, na wala hutasikia fujo nyingi huko SA ila ingekuwa ndio derby yetu hii halafu mnyama akapata ushindi wa namna hiyo, nadhani mashabiki wa mwakakundi wangemuua refa na kutaka dunia nzima iingilie kati kuwa wamehujumiwa
watu hawalalamikiii penati, watu wana lalamikia penati za mbereko mkuu na hizi ndio amekuwa akipewa nyau

unafikiri tukio kama lile la costal na nyau anashambuliwa refa anapuliza filimbi lingetokea leo huko sauzi jamaa wakienda kusawazisha wasinge sema
 
Simba huwa ina struggle kupata ushindi unaona kabisa.

Ila Yanga, timu mbovu akija mtu anakula mara 5 au 4 halafu hata aibu hawana aisee.

Walivyo wajinga hawazugi hata mechi moja. Wanashinda zote.
Halafu wakienda kimataifa wanaishis makundi 😂
 
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar🔰💪🏽

Dakika ya 15
Mzize anakosa goli la wazi

Dakika ya 17
Yng 0 -0 kgr

Dakika ya 20
Kagera sugar wanapata Free kick

Dakika ya 21
Yanga SC wanapata kona ya kwanza

Dakika ya 29 bado ni 0 kwa 0

Dakika ya 31
Mzize kambaaa

Dakika ya 41
Yng 1-0 kgr

Dakika ya 45+5
HT: Yanga SC 1-0 Kagera Sugar
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 53
Kagera sugar wanafanya mashambulizi dube anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 54
Yanga SC wanapata kona ya pili

Dakika ya 57
Dube anakosa nafasi ya wazi hapa

Dakika ya 59
Mudathir goal chuma cha pili

Dakika ya 70
Dube anakosa nafasi ya wazi
Yanga SC wanapata kona

Dakika ya 77
Yanga SC wanapata penati
Anaenda kupiga pacome goal chuma cha 3

Dakika ya 85
Yanga SC wanapata kona
Musondaaaaa goal chuma ya 4

Dakika ya 89
Kagera sugar wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 90+6
Young Africans SC 4-0 Kagera SugarView attachment 3221329
Tumerudi kivingine sasa dadeq
 
watu hawalalamikiii penati, watu wana lalamikia penati za mbereko mkuu na hizi ndio amekuwa akipewa nyau

unafikiri tukio kama lile la costal na nyau anashambuliwa refa anapuliza filimbi lingetokea leo huko sauzi jamaa wakienda kusawazisha wasinge sema
Huwa mnatumia vigezo gani kujua kwamba penati za simba tu ndio za 'mbeleko' ila za yanga ni za halali hebu weka hoja zenye uchambuzi wa kina, kwahiyo kama muda umekwisha ulitaka refa asipulize kipenga kisa coastal union walikuwa 'wanashambulia' hiyo ni kanuni ya wapi, maana ninavyojua matukio ambayo refa hatakiwi kupuliza kipenga hata kama anaona muda umekwisha ni pale ambapo timu imepewa penati, kona, au free kick mpaka pale tukio husika litakapokamilika
 
Halafu wakienda kimataifa wanaishis makundi [emoji23]
Hiyo timu si ndio imeenda kimataifa ikacheza fainali kwenye CAFCC kisha msimu uliofuata wakapangwa na vigogo Al Ahly na Belouizdad lakini ikapita kucheza robo fainali. Msimu huu ni mahesabu ya kubadilisha kocha kwa wakati ambao sio sahihi ndio kimewaponza.
 
Kwani 5imba havhezi NBC premier? Pole kwa maumivu 4 goals
NBC ni daraja la kucheza robo fainali ya mashindano ya vilabu ya CAF, sio kwa ajili ya kubaki ligi kuu au kutolewa makundi
 
Back
Top Bottom