FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Utopolo hii mbofu mbofu itatolewa round ya kwanza mwakani CAF
 
Issue sio Simba kushinda au Yanga kushinda. Namna mchezo ilivyo ndio jambo la kuzingatia. Intensity ya mchezo na wachezaji ndio kwangu cha msingi. Angalia namna wanavyocheza utadhani wameokotwa mitaa ya Kyaka au Bunazi na kuoandishwa mabasi waende Dar kucheza. Hii biashara ya kuwekeza katika soka Tanzania ina changamoto sana. Mimi huwa sipendi kumlipa mtu ambaye hajitumi.
Hawa wachezaji wa Hamgembe United choka mbaya!!
 
Kuna tatizo. Rushwa ipo nje nje. Loop holes zipo nyingi sana za match fixing kama mdhamini wa team fulani kuwa mdhamini wa team nyingine kadhaa.
Peleka maoni yako pale tff Kuna sanduku la maoni aliwai kusema Msemaji wenu,,vinginevyo Kaa kimya
 
Sijui kiswahili na kifupi mi sio mtanzania ila hizi comments nyingi hapa kwenye huu Uzi ni za Wana Simba!
 
Issue sio Simba kushinda au Yanga kushinda. Namna mchezo ilivyo ndio jambo la kuzingatia. Intensity ya mchezo na wachezaji ndio kwangu cha msingi. Angalia namna wanavyocheza utadhani wameokotwa mitaa ya Kyaka au Bunazi na kuoandishwa mabasi waende Dar kucheza. Hii biashara ya kuwekeza katika soka Tanzania ina changamoto sana. Mimi huwa sipendi kumlipa mtu ambaye hajitumi.
Ukitaka huo usawa basi inabidi timu zote 15 zinazoshiriki ligi kuu ziwe na uwezo unaokaribiana kiuchumi ambapo timu zote zitakuwa na uwezo wa kuchukua professional players wenye viwango, uongozi na benchi la ufundi imara na kuweza kusafiri kwa ndege. Timu inatoka Bukoba kwa gari halafu ije icheze mpira unaoleweka na wa ushindani ni jambo gumu.

Kupishana kwa level za hizi timu dhidi ya Simba na Yanga kumechangiwa na utofauti wa kiuwekezaji
 
Back
Top Bottom