Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwaniniDuh kweli Tanzania hamna mpira. Sio siri kocha wa Yanga alisema ligi ya bongo ni rahisi.
Ligi ya bongo ni rahisi kwa hizi timu mbili za Simba na Yanga.Leo nimejaribu kuangalia mpira wa bongo naona nimeshindwa. Unaona kabisa standards za timu zinazocheza ni mbali mbali.
Hii kagera haistahili hata kuwepo daraja la 2, ukilinganisha standard na quality ya yanga.
Tangu lini penati tata ikatikisa nyavu?mgeni wa Burkina Faso kwa Ibrahim Traore amekosa penati ya wazi ingawa yenye utata
Tunza tu mko very weakNimetunza risiti hii
😃😀😀😀Tunza tu mko very weak
Kauli tata za makocha wa Yanga huwa zinakuja kueleweka baadaye. Hata Luc Eymael nilikuja kumuelewa baadayeLeo nimejaribu kuangalia mpira wa bongo naona nimeshindwa. Unaona kabisa standards za timu zinazocheza ni mbali mbali.
Hii kagera haistahili hata kuwepo daraja la 2, ukilinganisha standard na quality ya yanga.
Yanga naona imepewa penalties mbili ambazo ni very cheap penalties.Kwanini
Issue sio Simba kushinda au Yanga kushinda. Namna mchezo ilivyo ndio jambo la kuzingatia. Intensity ya mchezo na wachezaji ndio kwangu cha msingi. Angalia namna wanavyocheza utadhani wameokotwa mitaa ya Kyaka au Bunazi na kuoandishwa mabasi waende Dar kucheza. Hii biashara ya kuwekeza katika soka Tanzania ina changamoto sana. Mimi huwa sipendi kumlipa mtu ambaye hajitumi.Simba kafungwa lini na hizi timu? Je nao wanatoa bahasha? Tunashindwa kukubali kuwa hizi timu hazina ubora wa kutoa ushindani kutokana na kuzidiwa kiuwekezaji kwa Simba na Yanga ikitokea ni bahati tu ila hazina viwango vya kushindana na Simba na Yanga kimpira uwanjani.
Pia timu zenye ushindani ni 3 tu tofauti na ligi zingine.Yanga naona imepewa penalties mbili ambazo ni very cheap penalties.
Pathetic officiating
Wako robo fainali ujue lakini5imba wanaumia