FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Duh kweli Tanzania hamna mpira. Sio siri kocha wa Yanga alisema ligi ya bongo ni rahisi.

Mpira wa bongo kuangalia ni aibu. Kwa hizi penalty..?
Kuna siku nitakuja kutoa darasa huru la jinsi ya kuchagua mechi za Yanga za kuangalia.

Msimu huu mechi zote za Yanga nilizoangalia live ilifungwa au kutoa sare ukiacha ile ya marudiano na Al Hilal ambayo wote tunajua kilichotokea (na ile isingekuwa siku moja na mechi ya Simba inawezekana nisingeiangalia).
 
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar🔰💪🏽

View attachment 3221275

Dakika ya 15
Mzize anakosa goli la wazi

Dakika ya 17
Yng 0 -0 kgr

Dakika ya 20
Kagera sugar wanapata Free kick

Dakika ya 21
Yanga SC wanapata kona ya kwanza

Dakika ya 29 bado ni 0 kwa 0

Dakika ya 31
Mzize kambaaa

Dakika ya 41
Yng 1-0 kgr

Dakika ya 45+5
HT: Yanga SC 1-0 Kagera Sugar
View attachment 3221274
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 53
Kagera sugar wanafanya mashambulizi dube anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 54
Yanga SC wanapata kona ya pili

Dakika ya 57
Dube anakosa nafasi ya wazi hapa

Dakika ya 59
Mudathir goal chuma cha pili

Dakika ya 70
Dube anakosa nafasi ya wazi
Yanga SC wanapata kona

Dakika ya 77
Yanga SC wanapata penati
Anaenda kupiga pacome goal chuma cha 3

Dakika ya 85
Yanga SC wanapata kona
Musondaaaaa goal chuma ya 4

Dakika ya 89
Kagera sugar wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 90+6
Wewe ndo masta wa live hapa JF...
 
Mechi za Yanga za ligi kuziangalia ni kupoteza muda tu.

Maana haiwezekani timu inashinda kila mechi.

Lazima kutakuwa na mambo ya ziada yanafanyika.
Inashinda kila mechi halafu inashika nafasi ya pili?

Tumtag Aden Rage?
 
Ni kwanini kocha rama anasema ligi ni nyepesi ila huko caf hali inakua tete kwa upande wa yanga shida hasa ni nini
Mkuu kisichoeleweka hapo nini? Kwamba wanavyocheza Kagera Sugar ndivyo wanavyocheza Al Hilal?
 
Back
Top Bottom