FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Hivi hii match kipa gani alikuwa sub kama mbadala wa diarra
 
Hoja dhaifu hio lini mlinyakua kombe huku tulipotolewa na huko mlipo? Nitajie makombe kuanzia matatu na mwaka mliochukua maana mna uzoefu na ligi za kimataifa
NBC ni daraja la kucheza robo fainali ya mashindano ya vilabu ya CAF, sio kwa ajili ya kubaki ligi kuu au kutolewa makundi
 
alipo shambulia nyau refa hakupiga filimbi na muda ulikuwa umeisha alipo geuziwa kibano na kushambuliwa muda ukawa umeisha ghafla

kwamba inahitaji kunywa dawa kuona penati hii n halali hii ya mbereko
 
alipo shambulia nyau refa hakupiga filimbi na muda ulikuwa umeisha alipo geuziwa kibano na kushambuliwa muda ukawa umeisha ghafla

kwamba inahitaji kunywa dawa kuona penati hii n halali hii ya mbereko
Kijana acha porojo nimekuambia weka hapa hoja zenye uchambuzi wa kina, ni vigezo gani mnavyotumia kuhitimisha kuwa penati za simba tu ndio za mbeleko ila za yanga ndio halali, hoja ni kwamba refa alipuliza kipenga muda ukiwa umeisha hivyo hakuna mahali alipokiuka kanuni
 
Mechi za mipango zinaendelea uko refa yule yule aliyepuliza na Jkt ndio uyo uyo anaendeleza madudu uku tabora alafu utaona mjinga anatoa povu nyeenyee!
 
unataka hoja gani mkuu, penati ya leo simba vs tabora umejionea unataka vigezo gani tena
 
unataka hoja gani mkuu, penati ya leo simba vs tabora umejionea unataka vigezo gani tena
Penati ya jana ilikuwa na shida gani hebu nyoosha maelezo vizuri ueleweke basi, halafu ghafla ukaingiza penati ya jana wakati hata hizo penati za nyuma hujamaliza kuzizungumzia, maana hizo porojo zako ulizianza kabla ya mechi ya jana kwahiyo tuseme jana simba wasingepewa ile penati hizo porojo zako zingekuwa null and void siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…