FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar🔰💪🏽

Dakika ya 15
Mzize anakosa goli la wazi

Dakika ya 17
Yng 0 -0 kgr

Dakika ya 20
Kagera sugar wanapata Free kick

Dakika ya 21
Yanga SC wanapata kona ya kwanza

Dakika ya 29 bado ni 0 kwa 0

Dakika ya 31
Mzize kambaaa

Dakika ya 41
Yng 1-0 kgr

Dakika ya 45+5
HT: Yanga SC 1-0 Kagera Sugar
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 53
Kagera sugar wanafanya mashambulizi dube anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 54
Yanga SC wanapata kona ya pili

Dakika ya 57
Dube anakosa nafasi ya wazi hapa

Dakika ya 59
Mudathir goal chuma cha pili

Dakika ya 70
Dube anakosa nafasi ya wazi
Yanga SC wanapata kona

Dakika ya 77
Yanga SC wanapata penati
Anaenda kupiga pacome goal chuma cha 3

Dakika ya 85
Yanga SC wanapata kona
Musondaaaaa goal chuma ya 4

Dakika ya 89
Kagera sugar wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 90+6
Young Africans SC 4-0 Kagera SugarView attachment 3221329
Hivi hii match kipa gani alikuwa sub kama mbadala wa diarra
 
Hoja dhaifu hio lini mlinyakua kombe huku tulipotolewa na huko mlipo? Nitajie makombe kuanzia matatu na mwaka mliochukua maana mna uzoefu na ligi za kimataifa
NBC ni daraja la kucheza robo fainali ya mashindano ya vilabu ya CAF, sio kwa ajili ya kubaki ligi kuu au kutolewa makundi
 
Huwa mnatumia vigezo gani kujua kwamba penati za simba tu ndio za 'mbeleko' ila za yanga ni za halali hebu weka hoja zenye uchambuzi wa kina, kwahiyo kama muda umekwisha ulitaka refa asipulize kipenga kisa coastal union walikuwa 'wanashambulia' hiyo ni kanuni ya wapi, maana ninavyojua matukio ambayo refa hatakiwi kupuliza kipenga hata kama anaona muda umekwisha ni pale ambapo timu imepewa penati, kona, au free kick mpaka pale tukio husika litakapokamilika
alipo shambulia nyau refa hakupiga filimbi na muda ulikuwa umeisha alipo geuziwa kibano na kushambuliwa muda ukawa umeisha ghafla

kwamba inahitaji kunywa dawa kuona penati hii n halali hii ya mbereko
 
alipo shambulia nyau refa hakupiga filimbi na muda ulikuwa umeisha alipo geuziwa kibano na kushambuliwa muda ukawa umeisha ghafla

kwamba inahitaji kunywa dawa kuona penati hii n halali hii ya mbereko
Kijana acha porojo nimekuambia weka hapa hoja zenye uchambuzi wa kina, ni vigezo gani mnavyotumia kuhitimisha kuwa penati za simba tu ndio za mbeleko ila za yanga ndio halali, hoja ni kwamba refa alipuliza kipenga muda ukiwa umeisha hivyo hakuna mahali alipokiuka kanuni
 
Mechi za mipango zinaendelea uko refa yule yule aliyepuliza na Jkt ndio uyo uyo anaendeleza madudu uku tabora alafu utaona mjinga anatoa povu nyeenyee!
 
Kijana acha porojo nimekuambia weka hapa hoja zenye uchambuzi wa kina, ni vigezo gani mnavyotumia kuhitimisha kuwa penati za simba tu ndio za mbeleko ila za yanga ndio halali, hoja ni kwamba refa alipuliza kipenga muda ukiwa umeisha hivyo hakuna mahali alipokiuka kanuni
unataka hoja gani mkuu, penati ya leo simba vs tabora umejionea unataka vigezo gani tena
 
unataka hoja gani mkuu, penati ya leo simba vs tabora umejionea unataka vigezo gani tena
Penati ya jana ilikuwa na shida gani hebu nyoosha maelezo vizuri ueleweke basi, halafu ghafla ukaingiza penati ya jana wakati hata hizo penati za nyuma hujamaliza kuzizungumzia, maana hizo porojo zako ulizianza kabla ya mechi ya jana kwahiyo tuseme jana simba wasingepewa ile penati hizo porojo zako zingekuwa null and void siyo
 
Back
Top Bottom