FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Penati ya Mchongo 🤣🤣🤣🤣.
Amekosaaa
Haikuwa y mchongo ila Azam tv ndio wamekuwa wa mchongo. Kibwana alisukumwa kwa nyuma ila wao kwenye replay yao wanaanzia kuonesha tu Kibwana akidondoka badala ya kurudisha nyuma zaidi tukio.
 
Halafu baadaye wakikaa vijiweni wanaanza kubeza utaskia "timu yenyewe kila siku inafunga magoli ya penati"

Wanaongea as if penalti ni simple kufunga wakati mchezaji wao hii penati ya 3 anakosa.
sema penati za yanga huwa ni za ziada baada ya kuwa tayari na ushindi sio za nyau huwa ni za ushindi na hupewa kwa kubebwa
 
Ngoja nitunze risiti
cc: Lucha

1738417558137.png
 
Haikuwa y mchongo ila Azam tv ndio wamekuwa wa mchongo. Kibwana alisukumwa kwa nyuma ila wao kwenye replay yao wanaanzia kuonesha tu Kibwana akidondoka badala ya kurudisha nyuma zaidi tukio.
Basi sawa, ila uta hawa hawa.
Ndio wangeenda kucheza na Al Ahly, Olando, Pyramid au FAR?
aisee tungeaibika sana kama nchi
 
Basi sawa, ila uta hawa hawa.
Ndio wangeenda kucheza na Al Ahly, Olando, Pyramid au FAR?
aisee tungeaibika sana kama nchi
Kwamba unamaanisha Yanga ingefungwa goli zaidi ya zile 5 alizofungwa Simba na Al Ahly?
 
Back
Top Bottom