FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Mkuu hii ni habari ingine,asante sana yaani clear vibaya mno
Hiyo uhakika kaka. Kuna wale ndugu zetu wengine wanakuaga hawana vifua utakua anaenda kupiga mayowe kwenye kurasa Azam. Huwa wanatuharibia sana.
 
Yanga sio Makolo wa kushinda kwa penalty na kuzidisha dakika
Screenshot_20250201-171532_X.jpg
 
Japo nimepumzika kweye soka,
Sikubaliani kabisa na Kocha wa Yanga.
Hawezi fikisha pasaka huyu.
Au Iddi
Teh teh teh teh 😃 😃 😃 hasira za kutolewa hatua ya makundi hazijaisha...... haaaaaaaaa haaaaaa🤣🤣
 
Back
Top Bottom