FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Wametoka kwenye mashindano ambayo huwezi kuhonga wamerudi kwenye ligi yao ya kutembeza bahasha
 
Kwa upangaji huu wa kikosi na uchezaji huu kama huyu kocha akiendelea na ujuaji hakuna kombe Yanga watabeba msimu huu🚮🚮
 
Haka kauwanja Yanga wahame tu, mvua yote imeishia maungoni shubamitiiii...
 
Haikuwa y mchongo ila Azam tv ndio wamekuwa wa mchongo. Kibwana alisukumwa kwa nyuma ila wao kwenye replay yao wanaanzia kuonesha tu Kibwana akidondoka badala ya kurudisha nyuma zaidi tukio.
Sijui lengo la Azam Tv lilikuwa kuwaaminisha nini watazamaji? Kwamba Yanga wamepata penati ya utata?
 
Kawaida yake hiyo tangu zamani
Kama imeenda mpaka imekuwa kwake ni kawaida, kwanini anapewa yeye nafasi ya kupiga penalt?

Hakuna wengine?

Hamjifunzi kwa Tp Mazembe ambao walimpisha kipa wao kupiga penalt?
 
Back
Top Bottom