FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

Mkuu hii ni habari ingine,asante sana yaani clear vibaya mno
Hiyo uhakika kaka. Kuna wale ndugu zetu wengine wanakuaga hawana vifua utakua anaenda kupiga mayowe kwenye kurasa Azam. Huwa wanatuharibia sana.
 
Japo nimepumzika kweye soka,
Sikubaliani kabisa na Kocha wa Yanga.
Hawezi fikisha pasaka huyu.
Au Iddi
Teh teh teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ hasira za kutolewa hatua ya makundi hazijaisha...... haaaaaaaaa haaaaaa🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…