FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”°
πŸ† #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SCπŸ†šPamba Jiji FC
πŸ“† 03.10.2024
🏟 Azam Complex
πŸ•– 6:30PM(EAT)


20241003_060847.jpg

Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC
20241003_174518.jpg

Mpira umeanza
Dakika ya 5
Goal Baccaaaaaaaaaaa

Dakika 7
Tunashambulia kwa kasi

Dakika ya 12
Yanga SC wanapata Kona

Dakika ya 14
Tunapata Kona tena

Dakika ya 18
Boca anaoneshwa kadi ya njani Aziz k anapiga Free Kick

Dakika ya 24
Mzize anashambulia kwa kasi tunapata Kona hapa

Dakika ya 33
Yng 1 -0 Pmb

Dakika ya 38
Sureboy anacheza madhambi hapa

Dakika ya 41
Aziz k anakosa goli la wazi

Dakika 44
Pmb wanapewa kadi nyekundu

Dakika ya 45+2
Master KIIIIII⚽️

𝐇𝐀𝐋𝐅 π“πˆπŒπ„
20241003_192708.jpg

Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 48
Yanga SC wanashambulia kwa kasi

Dakika ya 52 na 53
Yanga SC wanapata kona pacha hapa

Dakika ya 54
Nzengeli chuma cha tatu

Dakika ya 58
Mzize anakosa goli la wazi

Dakika ya 60
Yanga SC wanakosa goli la wazi

Dakika ya 78
Yng 3-0 pmb

Dakika ya 81
Pacome anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 84
Musondaaaa chuma ya 4

Dakika ya 90+3

𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„
Young Africans SC 4-0 Pamba Jiji FC
20241003_203324.jpg
 
πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”°
πŸ† #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SCπŸ†šPamba Jiji FC
πŸ“† 03.10.2024
🏟 Azam Complex
πŸ•– 6:30PM(EAT)
Zipo tuhuma tayari wamesha fix mechi washinde goli nyingi
 
πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”°
πŸ† #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SCπŸ†šPamba Jiji FC
πŸ“† 03.10.2024
🏟 Azam Complex
πŸ•– 6:30PM(EAT)View attachment 3113734
Hii nayo tena mnatakiwa mshinde kwa goli saba.

Ngoja kina Mahondaw wajeπŸ˜€
 
Haya maneno mbona tangu mechi ya kwanza dhidi ya Kagera mmekuwa mkiyaongea? Kila kabla ya mechi ya Yanga mnaongea hivi, mechi ikishachezwa mnakuja kusema Yanga hamma kitu, imeshuka kiwango.
Ni viongozi wa pamba wamesema wanajiweka pembeni sababu wao ni mashabiki wa yanga....hili halihitaji 'D ' mbili.
 
Back
Top Bottom