Akuna timu kwa sasa ambayo itaingia kucheza na yanga na ikataka kupishana nao, mbinu zao ni kulipaki basi tu ili kupunguza idadi ya magoli vinginevyo yanaweza kuwakuta makubwa, na yanga wanatakiwa kutafuta mbinu mbadala za kuwafungua wapinzani wanaocheza wengi mbele ya goli lao, wasitegemee kukutana Tena na timu ya itayotaka wapishane maana ndio mbinu ambayo washaona inalipa!