FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Mashabiki wa Yanga huwa ni Toto Mashabiki wa Simba ndio huwa Pamba..., Nadhani Yanga wanaukumbuka mzimu wa Fumo Felician alikuwa anawauwa sana Yanga alivyokuwa Pamba hadi wakamnunua kupunguza Kipigo
Viongozi wa pamba wamesema wanajiweka pembeni kwenye mechi dhidi ya Yanga,sasa bishana na hao viongozi.
 
Viongozi wa pamba wamesema wanajiweka pembeni kwenye mechi dhidi ya Yanga,sasa bishana na hao viongozi.
Unaweza kunipa maneno yao ad verbatim ?

Hivi unajua kwa kusema kwao hivyo wamaweza wakajiweka hatiani hata kufungiwa kushiriki na lolote katika soka ? (That being the case sidhani kama hata mwendawazimu anaweza kusema hivyo mbele ya kadamnasi) na kama kweli wamesema basi inaweza ikawa ni kujijitea before the fact kutokana na incompetence zao....
 
Yanga win full time
Azam ashinde au draw full time
Enjoy you life 💪🏾🔥🔥💰💸
 
Back
Top Bottom