FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Wana Pamba tuna Imani na timu yetu
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Hii Yanga ni dhoofu bin hali, wanajifanya kuanziasha kikosi hiki ili kufanya hadaa
 
Boka ni minguvu tu.
Sina uhakika na intelligence yake 😆
 
Ushahidi gani tena mnataka? hilo tukio la SureBoy.
Refa 📨✉️
 
Nimeanza kumuelewa Gamondi sababu ya kumkalisha bench huyu Baleke
 
Yanga hamna timu hapa,siku zinavyoenda hirizi ndo inaisha nguvu
 
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚Pamba Jiji FC
📆 03.10.2024
🏟 Azam Complex
🕖 6:30PM(EAT)


View attachment 3113734
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC
View attachment 3114306
Mpira umeanza
Dakika ya 5
Goal Baccaaaaaaaaaaa

Dakika 7
Tunashambulia kwa kasi

Dakika ya 12
Yanga SC wanapata Kona

Dakika ya 14
Tunapata Kona tena

Dakika ya 18
Boca anaoneshwa kadi ya njani Aziz k anapiga Free Kick

Dakika ya 24
Mzize anashambulia kwa kasi tunapata Kona hapa

Dakika ya 33
Yng 1 -0 Pmb

Dakika ya 38
Sureboy anacheza madhambi hapa

Dakika ya 41
Aziz k anakosa goli la wazi
Yanga inatakiwa imzuie Bacca asiwe anafunga maana akifunga tu, Yanga HAWAWEZI kufunga tena! Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom