FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Mimi shabiki wa Yanga niko nashuhudia hapa upangajwi wa matokeo.red card ♦️ plus penati
images (50).jpeg
 
Aziz siyo mtaalamu wa penati. Makipa wanashindwa timing tu.

Penati zote anapiga upande ule ule
 
Ila Aziz K kama kipa akiwa anamfuatilia penalty zake anadaka, maana anapiga upande uleule wa kushoto.
 
Mimi kama shabiki wa Yanga,
Naona refa anatupendelea sana kwenye hii mechi.
Bila mbeleko sisi sio kitu, Wachezaji wetu wanakata moto haraka.
Tunatakiwa tusajili vijana.
Vinginevyo hatutoboi bila bahasha.
 
Zamu ya mwamuzi leo ku force
Mpango kazi wa nyuma mwiko gsm mwamuzi na baadhi ya wachezaji wa pamba umeanza kuzaa matunda
 
Mimi kama shabiki wa Yanga,
Naona refa anatupendelea sana kwenye hii mechi.
Bila mbeleko sisi sio kitu, Wachezaji wetu wanakata moto haraka.
Tunatakiwa tusajili vijana.
Vinginevyo hatutoboi bila bahasha.
tena ya kaki
 
Jezi ya pamba watakayo vaa leo zingatia hapo kwenye mdhamin mimi ni Yanga ila hili swala sipendezwi nalo
Nb
Game itakua ya upande mmoja na makosa ya kibinadamu kwa baadhi ya wachezaji yatakua mengi
View attachment 3114141
Mwenye hauruki kijiji. Ikifika zamu yako utatuambia timu yako inadhaminiwa na nani.
 
Back
Top Bottom