FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

"Na mchezaji mwingine kipindi cha pili apate red card tena,tumewapa bahasha msimwingize George Mpole"
 
Mwenye hauruki kijiji. Ikifika zamu yako utatuambia timu yako inadhaminiwa na nani.
Leo tunashuhudia upangajwi wa matokeo toka mpira wa Tanzania kuanzishwa kwako mimi shabiki wa yanga hainipendenzi kabsa hii
images (50).jpeg
 
Bahasha za Yanga ni aibu kwenye soka letu
 
"Na mchezaji mwingine kipindi cha pili apate red card tena,tumewapa bahasha msimwingize George Mpole"
Bahasha zilianzia Zanzibar mechi dhidi ya Azam zikaja Dodoma mechi dhidi ya Dodoma Jiji sasa mnaanza kubweka kitu Gani? Twende ivyo ivyo mmelianzisha tutamaliza tuone nani ataibuka mwamba!
 
Kama simba mnavyopanga matokeo na azam
Mimi shabiki wa yanga nikupe data kamili sisi yanga ndio tunaongoza kuifunga Azama kuliko simba huu upangajwi wa matokeo haijawahi kutokea kwa mimi mpenda soka
images (50).jpeg
 
🤣🤣🤣 unapiga kwenye mshono
Unategemea nini Pamba kwenye ujio wa hii mechi imebaki siku 2 wakaweka kwanza pembeni baadhi ya watu mhimu kwenye benchi la ufundi
 
Unategemea nini Pamba kwenye ujio wa hii mechi imebaki siku 2 wakaweka kwanza pembeni baadhi ya watu mhimu kwenye benchi la ufundi
Wale ambao hawataki mlungula
 
Back
Top Bottom