FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Kwani tar 19 mbali? Kwa hii timu inayocheza hovyo? Hatuwezi kufungwa zamu hii na wasubiri penshen
Kweli kabxa itakuwa aibu sana kufungwa tena na utopolo, japo simba ikiingia kwa kutaka kupishana na yanga basi simba lazme atakufa nyingi.
Itabid itumike tu njia nyingne mbadala
 
Jamaa hayuko karbu na goal na anakadi ya njano afu anacheza rafu mbaya vile huyu atakua anamaelekezo ndani ya GSM DERBY
 
Back
Top Bottom