FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Wana Pamba tuna Imani na timu yetu
 
Reactions: Tsh
Hii Yanga ni dhoofu bin hali, wanajifanya kuanziasha kikosi hiki ili kufanya hadaa
 
Boka ni minguvu tu.
Sina uhakika na intelligence yake πŸ˜†
 
Ushahidi gani tena mnataka? hilo tukio la SureBoy.
Refa πŸ“¨βœ‰οΈ
 
Nimeanza kumuelewa Gamondi sababu ya kumkalisha bench huyu Baleke
 
Yanga hamna timu hapa,siku zinavyoenda hirizi ndo inaisha nguvu
 
Yanga inatakiwa imzuie Bacca asiwe anafunga maana akifunga tu, Yanga HAWAWEZI kufunga tena! Ahahahahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…