Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Nambie koloMbona mapema Sana. Una wahi wapi wewe uto?
Historia ya Manungu, Turiani au?
Yule dogo ndo alitufanya tukala 3 kule Algeria ni jau sana yuleDjigui The Djigui Diara 🙌 🙌
Huyu mtu akikaa golini huwa naangalia mpira huku nachat na babe, yule mwingine hata kunywa maji siwezi hadi dakika 90 ziishe.
Anapigwa 5naiona droo kwa mbaliii😥
Kwamba mtibwa ni wazuri kuliko mbumbumbu fc?naiona droo kwa mbaliii[emoji26]
🤣🤣🤣Hapa alizingua baadae akaja kula 5 akawa kimyaaaMwasibu ulipigaje hapa??🤭🤭
Tuheshimiane: Ni marufuku kuilinganisha Simba Sc na Yanga
Ifike wakati tuheshimiane. Hivi wewe mchambuzi uchawara unatoa wapi ujasiri wa kuilinganisha Yanga Utopolo na Simba Sc. Simba Sc ipo mbali sana Next Level. Unawezaje kuilinganisha timu bingwa mara 3 mfululizo katika ligi kuu na Yanga. Unawezaje kuilinganisha timu iliyochukua makombe matatu...www.jamiiforums.com
Yule ndio kaleta balaa lote hili! Kikosi kimepoteana sababu ya kupoteza ile mechi.Yule dogo ndo alitufanya tukala 3 kule Algeria ni jau sana yule
KabisaUkiwa na uhakika na timu yako raha sana,unaweza fungua thread muda wowote hata usiku wamanane
Wana waianaDaaah jamni mechi ya saa kumi na mbili uzi mnafungua saa sita usiku😭😭😭
Kabisa naunga mkono hojaYule ndio kaleta balaa lote hili! Kikosi kimepoteana sababu ya kupoteza ile mechi.
Tungekuwa tunaongea mengine sio kurudi darasani kupiga hesabu, hizo wamezoea makolo.
2-1. Mtibwa anaondoka na point 3 zake saaafiinaiona droo kwa mbaliii😥