FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

Kikosi cha Yanga dhidi ya Mtibwa sugar
Screenshot_2023-12-16-17-44-03-899_com.twitter.android.jpg
 
Mh sijajua maana akitolewa si itakuwa wanamvunjia mkataba? Labda apelekwe kwa mkopo sehemu. Japo ni tetesi tu hizo za Skudu
We unafikiri atakubali kutolewa kwa mkopo?

Umtoe kwa mkopo umpeleke wapi na wachezaji wa nje tuajuavyo kwa kuwa na zile ego za kujiona ni high level?
 
Mtibwa wasiingie tamaa ya fedha na mali
Katika mechi 12 walizocheza; wameshinda mechi 1 wametoa sare mechi 2, na wamefungwa mechi 9!
Mwasibu, tamaa ya fedha inatoka wapi tena kwa timu ya aina hii?

Mtibwa wakitaka ushindi, au sare wanatakiwa wachezaji waikamie game kama walivyofanya Ihefu kule Mbarali! Kinyume na hapo wataendeleza tu wimbi lao la kufungwa. Hakuna cha fedha wala nini hapa.
 
Back
Top Bottom