FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

Kama unapenda kubeti, utafute uzi mmoja nilionyesha jinsi magoli ya Simba na Yanga huwa yanafungwa muda unaofanana na wakati mwingine hata aina ya magoli pale mechi zao zinapofululiza pamoja.

Jana goli la kwanza la penati limefungwa dakika ya 42. Leo goli la kwanza la penati limefungwa dakika ya 45
Kwa muendelezo, jana goli dakika ya 75, leo hivyo hivyo
 
Kama hakuna mabadiliko kwenye score reading naondoka hapa sitaki ujinga mm
 
Chonde chonde viongozi wa Yanga!! Msije mkamuacha mchezaji mwenue kipaji kikubwa cha uchezaji kama Farid Musa mwishoni mwa msimu.

Huyu kiumbe bado mchango wake unahitajika sana tu hapo Jangwani.
 
Back
Top Bottom