Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #381
Kuwanga muhimu mtani😂🤣🤣Sio kwa wanga ule..kuanzia kocha na wachezaji wananyunyuzia maji hahahahah
Jamaa ni mzuri Aisee namkubali naamini kuna siku atatuokoa muda wowote anaweza kumsababishia mpinzani penaltiMbona leo hamsemi kama skudu ni mbovu kulikoni
🤣 🤣 🤣 🤣 walai mlituzidi mtani...sijui mlienda makaburi gani...Kuwanga muhimu mtani😂🤣🤣
Mechi imeshaisha hakuna cha kuongeaSasa tunafanyaje maamuzi yashafanyika mbona hujui kuweka hoja au basi fanya wewe
Mtani na ijayo jiandae tafuta mganga wa uhakika mapema😂🤣 🤣 🤣 🤣 walai mlituzidi mtani...sijui mlienda makaburi gani...
Ya Pemba mtani 😂🤣 🤣 🤣 🤣 walai mlituzidi mtani...sijui mlienda makaburi gani...
Niliona kama ameguswa miguu na Aziz nikahisi amempiga All in all ndio mpira , makosa ndio yanatengenezwa matokeoMechi imeshaisha hakuna cha kuongea
Goli la mtibwa bacca alichezewa faulo
Goli la yanga Aziz alikuwa nyuma ya mchezaji wa mtibwa ambaye aliukosa mpira
Unataka kusemaje? Kwamba anabahatisha! Au amekutana na timu mbovu kuzidi Yanga?Kwenye hizi mechi Aziz k huwa anang’ara sana.
Hongereni watani, sasa Mtibwa Sukari ni timu ya kujisifia jmn?🤣🤣🤣Hiyo ndiyo Yanga bana😀 watani mpoo Mjamaa1[/
[/QUOTE]
Mchezaji wa kawaida, hana msaada kwenye mechi kubwa za kimataifa kulingana na uchezaji wake, kimataifa hakuna kuachwa uwe free unatakiwa ucheze boli si unamuona pacome.Unataka kusemaje? Kwamba anabahatisha! Au amekutana na timu mbovu kuzidi Yanga?
Hakuna kocha atamwachia Mudathir kizembe.Jamaa ni mzuri Aisee namkubali naamini kuna siku atatuokoa muda wowote anaweza kumsababishia mpinzani penalti
Kuna hawa ambao tetesi zinasema huenda wakaachwa ila sikubaliani ni skudu ,Faridi mussa , Mudathir
Mmeshaanza vipi record yenu na wao ? Si bora wao nyie mlikula ngapi zile? 😀😀🏃♀️Hongereni watani, sasa Mtibwa Sukari ni timu ya kujisifia jmn?🤣🤣🤣
Sio mabao tu, sema mabao mengiLimbukeni wa mabao... ..
Timu mbovu mbovu hua ana ziadhibu sanaKwenye hizi mechi Aziz k huwa anang’ara sana.
Timu bora inajisifiaje kupata matokeo kwa timu bovu kama Mtibwa Sukari , yani katika ubora wenu mnakisifia kuifunga hiyo timu 🤣🤣Mmeshaanza vipi record yenu na wao ? Si bora wao nyie mlikula ngapi zile? 😀😀🏃♀️
Basi tunajisifia kuifunga simba sc 5Timu bora inajisifiaje kupata matokeo kwa timu bovu kama Mtibwa Sukari , yani katika ubora wenu mnakisifia kuifunga hiyo timu 🤣🤣
Mudathir hawezi kuachwa, Skudu ukiachana na ile goli alilofunga kwa asilimia kubwa kabla ya hiyo goli kawakera watu kwa kupoozesha mashambulizi, kupoteza mipira kizembe na kuwa na mambo mengi kwa kutaka kucheza na jukwaa.Jamaa ni mzuri Aisee namkubali naamini kuna siku atatuokoa muda wowote anaweza kumsababishia mpinzani penalti
Kuna hawa ambao tetesi zinasema huenda wakaachwa ila sikubaliani ni skudu ,Faridi mussa , Mudathir
Au sio? Mgumba akipata mimba anatema mate mji mzimaBasi tunajisifia kuifunga simba sc 5
HahahaWimbo wao ni ule ule na sauti zao ni zile zile krooooooo krooooooo 😂😂