FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

Sasa tunafanyaje maamuzi yashafanyika mbona hujui kuweka hoja au basi fanya wewe
Mechi imeshaisha hakuna cha kuongea
Goli la mtibwa bacca alichezewa faulo
Goli la yanga Aziz alikuwa nyuma ya mchezaji wa mtibwa ambaye aliukosa mpira
 
Unataka kusemaje? Kwamba anabahatisha! Au amekutana na timu mbovu kuzidi Yanga?
Mchezaji wa kawaida, hana msaada kwenye mechi kubwa za kimataifa kulingana na uchezaji wake, kimataifa hakuna kuachwa uwe free unatakiwa ucheze boli si unamuona pacome.
 
Jamaa ni mzuri Aisee namkubali naamini kuna siku atatuokoa muda wowote anaweza kumsababishia mpinzani penalti

Kuna hawa ambao tetesi zinasema huenda wakaachwa ila sikubaliani ni skudu ,Faridi mussa , Mudathir
Hakuna kocha atamwachia Mudathir kizembe.
 
Mmeshaanza vipi record yenu na wao ? Si bora wao nyie mlikula ngapi zile? šŸ˜€šŸ˜€šŸƒā€ā™€ļø
Timu bora inajisifiaje kupata matokeo kwa timu bovu kama Mtibwa Sukari , yani katika ubora wenu mnakisifia kuifunga hiyo timu 🤣🤣
 
Jamaa ni mzuri Aisee namkubali naamini kuna siku atatuokoa muda wowote anaweza kumsababishia mpinzani penalti

Kuna hawa ambao tetesi zinasema huenda wakaachwa ila sikubaliani ni skudu ,Faridi mussa , Mudathir
Mudathir hawezi kuachwa, Skudu ukiachana na ile goli alilofunga kwa asilimia kubwa kabla ya hiyo goli kawakera watu kwa kupoozesha mashambulizi, kupoteza mipira kizembe na kuwa na mambo mengi kwa kutaka kucheza na jukwaa.
 
Back
Top Bottom