Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kabeeesa 💚💪💪💪💪💪Hapa tuongeze goli 1 tupate sare sare maua na timu fulani ya mbumbumbu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabeeesa 💚💪💪💪💪💪Hapa tuongeze goli 1 tupate sare sare maua na timu fulani ya mbumbumbu.
Dirisha dogo limefunguliwa.Mkuu post zako huwa zinanichekesha sana yaani. Lol.
Wakisema hivyo itakuwa na wao walinunuliwa!Zile kelele za mwanzoni za mmenunua mechi siku hizi hatuzisikii...... sababu hata wao walikutana nacho kinacho wakuta Mtibwa.
Wewe huzi ongelei?Hivi watu bado wana ongelea 5 za kichawi??? Hahah kweli tano za mnyunyizio wa maji...
Zile 6 kwa 0 au 5 kwa 0 tulizowapiga?? Tuongelee za nini sasa...Wewe huzi ongelei?
Ndio ndio. 💪💪Kam kauwaaa kam dauwaaa daima mbeleeeeee rafikiii 💚💚💚🤸🤸🤸💪💪💪!
Weka video tuoneZile 6 kwa 0 au 5 kwa 0 tulizowapiga?? Tuongelee za nini sasa...
Wacha nitampigia injinia Nina namba zake kijana huyu asalie jangwani Hadi 2026Chonde chonde viongozi wa Yanga!! Msije mkamuacha mchezaji mwenue kipaji kikubwa cha uchezaji kama Farid Musa mwishoni mwa msimu.
Huyu kiumbe bado mchango wake unahitajika sana tu hapo Jangwani.
Mechi 4 mfululizo hakuna clean sheetHata ile 5 - 1ilituondolea clean sheet
Timu gani hairuhusu tikajifunzesema yanga wanaruhusu magoli sana
Vyura wakishapata wimbo ni kuimba tu. Kroooo krooooo kroooo.Hivi watu bado wana ongelea 5 za kichawi??? Hahah kweli tano za mnyunyizio wa maji...
Nyie mliokuwa mnamzonga mlifungwa ngapi?Mabeki wa Mtibwa wasengezi Sana wanamwachaje musonda anapiga mpira bila kuzongwa