FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

Kwahiyo Simba nayo mbovu?
Sasa Hilo swali? Simba NI kikundi cha wahuni Tu waliookotana.

Mpaka sasa Saido hayupo katika orodha ya wafungaji, utashangaa bado mechi 3 Ligi iishe wakicheza na wahuni wenzao Saido atafunga goli 10 mechi moja naye utaambiwa anagombea ufungaji Bora.
 
Tuwaulize nyie ambao ndiyo huwa mnalilia hizo mambo ya clean sheet au sasa hivi haina maana kwa kuwa hamzipati tena?
Kumfunga mtu 5-1 au 4-1 hakuwezi kuwa sawa na aliyeshinda 2-1 au 3-2 kwasababu ya kitu kinachoitwa goal difference. Pamoja na Yanga kumzungumzia kuwa anapata tabu kupata clean sheet lakini mpaka sasa ana goal difference ya 24 kwa michezo 10 huku timu yako ya Simba ikiwa na goal difference ya 10 kwa michezo 9. Huku Azam fc akiwa na goal difference ya 21 kwa michezo 12. Yanga ana mtaji mkubwa wa nagoli akiwa ameruhusu magoli machache na kufunga mengi.
 
Tulikataza kujielezea sana. Msimu uliopita mlivyokuwa mnaambiwa Simba ana hizo takwimu za kufunga magoli mengi na kufungwa machache mkawa mnakejeli leo inakuwaje mnaona ni jambo muhimu.

Na clean sheet ni clean sheet haijalishi umefunga goli 2 au goli 10 au umetoka suluhu, haina uhusiano wowote na hayo mambo mengine maana hata Simba alipokuwa anashinda 3-1 bado mlisema ina beki mbovu kisa haikupata clean sheet
 
Tulikataza kujielezea sana. Msimu uliopita mlivyokuwa mnaambiwa Simba ana hizo takwimu za kufunga magoli mengi na kufungwa machache mkawa mnakejeli leo inakuwaje mnaona ni jambo muhimu
Hizo takwimu zikawasaidia nini kwa mwaka jana hadi uje kutamba nazo hapa?
 
Hizo takwimu zikawasaidia nini kwa mwaka jana hadi uje kutamba nazo hapa?
Kwani wewe hizo takwimu una uhakika gani zitakusaidia hadi unatamba nazo hapa. Unaongea utadhani siyo mtu wa mpira
 
Kwani wewe hizo takwimu una uhakika gani zitakusaidia hadi unatamba nazo hapa. Unaongea utadhani siyo mtu wa mpira
Nimetamba au nimekuelewesha ujue maana ya goal difference wewe uliyekuja na wimbo wa Yanga hapati clean sheet
 
Nimetamba au nimekuelewesha ujue maana ya goal difference wewe uliyekuja na wimbo wa Yanga hapati clean sheet
Unahoji kwa kejeli GD imeisaidia nini Simba halafu wakati huo huo "unaelewesha" Yanga ina GD bora. Haujitambui dogo
 
Unahoji kwa kejeli GD imeisaidia nini Simba halafu wakati huo huo "unaelewesha" Yanga ina GD bora. Haujitambui dogo
Hiyo kejeli umeiona wapi zaidi ya wewe kujistukia kuwa una upeo mdogo wa kuujua mpira? Kama ungekuwa unajua mpira, usingehoji habari za clean sheet kwa timu yenye wastani wa kufunga magoli zaidi ya mawili kwa kila mchezo. Ungehoji habari za clean sheet kama timu zingefungana 2:1 au 4:3 lakini sio kwa ushindi wa 5:1 ( goal difference ni sawa na 4 hapo) au 4:1 ( ni sawa na 3 kwa 0)
 
Unajitungia sheria zako. Clean sheet ni clean sheet bwashee
 
Unajitungia sheria zako. Clean sheet ni clean sheet bwashee
Naona nampigia mbuzi gitaa, nazungumzia goal difference wewe umekazana na clean sheet haya kazana na clean sheet tuone kama ligi inaangaliwa clean sheet au goal difference.
 
Nazungumzia goal difference wewe umekazana na clean sheet haya kazana na clean sheet tuone kama ligi inaangaliwa clean sheet au goal difference.
Post yangu ilihusu clean sheet wewe ukaingiza hoja ya GD halafu ukibanwa unasema haviingiliani wakati wewe ndiyo umechanganya madesa. Cha kushangaza zaidi unabeza kitu hicho hicho unachotaka kionekane ni muhimu
 
Huu ni msimamo, je unaona kwenye huo msimamo kuna clean sheet hapo?
IMG_20231217_140555.jpg
 
Huu ni msimamo, je unaona kwenye huo msimamo kuna clean sheet hapo?
View attachment 2844967

Wewe kiande, walioshinikiza Manula hafai kuwa langoni mpaka kocha akabidi amuweke benchi na nafasi yake kuchukuliwa ns Kakolanya walikuwa ni washabiki wa Yanga? Yaani mishabiki ya Simba ni minafiki sana sijapata kuona. Wakipangiwa Mugalu wanapiga kelele hafai tunamtaka Kagere na mkipangiwa Kagere mnamkataa mnamtaka Mugalu na kumuona Kagere ovyo. Ndio hayo hayo kwa Manula, isitokee kosa kidogo hata kama sio lake utasikia ndio makosa yake hayo kila siku magoli hayo hayo hajirekebishi. Akapangwa Kakolanya hakupata hata clean sheet hata moja lakini mashabiki kimya hawamsemi zaidi utasikia pale beki fulani ndio kasababisha. Manula amekuwa tu na chuki kwa wana Simba lakini ukiangalia idadi ya magoli aliyoruhusu vs saves za hatari anazofanya. Utagundua kafanya saves nyingi kuliko Magoli aliyofungwa. Mashabiki wa Simba acheni unafiki

Huu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi.

Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi. Timu ya Yanga imekuwa ni timu isiyoweza kupata clean sheet hata kwa Mbuni FC. Hilo siyo jambo zuri kabisa kwenye mchezo unahitaji kuvuka kwa aggregate.

Litibiwe mapema hili tatizo.

Ni uzembe wetu ndio tumeshindwa kumaliza mechi home. Tumekosa magoli ya wazi sana. Hii sio hatua ya kutaka upate nafasi kumi upate moja bali ni kila nafasi itendee haki. Kingine Nabi hataki kujifunza makosa, haiwezekani timu tokea imeanza msimu kupata clean sheet ni ngumu lakini anaacha kumpanga Bangala kama mkata umeme ili kupunguzia pressure mabeki wetu.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app

Timu iliyokata pumzi tokea msimu umeanza karuhusu goli moja tu.

Timu iliyokata pumzi wapinzani wanaomba mpira uishe.

Timu iliyokata pumzi imefuzu hatua ya makundi.

Timu iliyokata pumzi inaongoza ligi.

Sasa tuje kwenye timu ambayo haijakata pumzi sasa:
Wana ukuta unaovuja kupita maelezo, yaani kwao clean sheet ni sherehe wakipata.

2) wanamtegemea CHAUMA awapambanie bila huyo hakuna kazi.

3) wanacheza mpira shikilia moyo dakika zote hata kukaa na mipira changamoto na mpira papatu papatu tu.

4) waliona kufunga magoli matano ni jambo jepesi wakacheza na timu pungufu kwanzia kipindi cha kwanza lakini wameshindwa kupata goli tano kwa timu iliyopungufu

Hongereni timu yenu kwa kujipata, wacha Yanga iliyokata pumzi iendelee kukata pumzi.

NB: Tunakumbusha tu kuwa hata misimu miwili nyuma hili neno la kukata pumzi ilitumika hivyo tumelizoea labda uanzishe jipya.

Mkuu wao kazi yao ni kuchukua takwimu kwa kila aina ya mchezo. Na wao wana deal na performance. Kwahiyo wanachoweka wao ni overall performance. Timu ikifanya vizuri kimataifa na nyumbani hafanyi vizuri maanake kwenye mizani ya performance anakuwa amepungua, na timu ikifanya nyumbani vizuri halafu kimataifa hakufanya vyema nae hivyo hivyo. Wanachukua record ya kila kitu idadi ya mechi ulizoshinda, magoli, clean sheet, n.k

IFFHS wao hawa deal na mafanikio bali wana deal na overall performance za timu. Wao kazi yao ni kuchukua takwimu za idadi ya mechi ulizocheza, idadi ya magoli uliyofunga, idadi ya magoli uliyoruhusu, idadi ya clean sheet, idadi ya mechi ulizoshinda n k. Wao ni mwendo wa namba tu na ndio maana wanaitwa international federation of football history and statistics ( IFFHS)

Tatizo ni timu kuvuja hata ikicheza na timu ndogo ndogo, power dynamo nusu ikutoe mashindanoni, katika michezo iliyocheza imeambulia clean sheet mbili tu halafu unaenda kukutana na Yanga iliyokuwa inaongoza kwa kufunga magoli mengi ligi kuu. Mmefumbazika na zile sare sare za Al Ahly mkajiona mko level ya juu sana lakini hamkutaka kufikiria kuwa Al Ahly wangekuwa makini kwa makosa yanayofanyika hali ingekuaje. Al Ahly hawakuweza tu kuzitumia nafasi walizotengeneza tu basi.

Hizi siyo rank zinazoangalia shindano moja pekee, ukitaka rank za shindano moja utazipata katika shirikisho la soka Africa (CAF) ambapo utakutana na CAF 5 years ranking. Hii ni rank inayohusisha mashindano yote kwa ujumla ambayo yanatambulika na FIFA (ligi kuu, FA cup, na mashindano ya kimataifa)

Yanga ukichukukua idadi ya michezo aliyoshinda, idadi ya clean sheet na idadi ya magoli ya kufungwa na kufunga katika mashindano yote aliyoshiriki ana muacha mbali sana huyo USM Alger.

Dah mkuu kwanza usipaniki hadi kutukanana sababu ya mpira tu.
Ipo hivi, IFFHS hawa deal na kuupigwa mpira mwingi hadi kumwagika na wala hawa deal na mafanikio ya mwisho (kombe) bali wana deal na namba tu katika mechi zote za mashindano yote yanayotambulika na FIFA ( FA cup, ligi kuu na mashindano ya kimataifa)
Wao wanahesabia kila kitu kinachohusika na performance, yaani idadi ya mechi unazoshinda, idadi ya magoli uliyofunga, idadi ya clean sheet, idadi ya magoli uliyoruhusu, n.k

Sipendagi kudhalilisha mtu ila ukinilazimisha nitafanya hivyo na uzuri JF wamefanya rahisi sana kudhalilisha watu kama nyie. Embu pitia hizo post uangalia ulivyokuwa unaziongelea hizo clean sheet.
 
Sipendagi kudhalilisha mtu ila ukinilazimisha nitafanya hivyo na uzuri JF wamefanya rahisi sana kudhalilisha watu kama nyie. Embu pitia hizo post uangalia ulivyokuwa unaziongelea hizo clean sheet.
Unataka tuanze kujadili kila comment? Haya twende kazi tuanze na comment yangu ya kwanza nanukuu "Huu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi.

Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi. Timu ya Yanga imekuwa ni timu isiyoweza kupata clean sheet hata kwa Mbuni FC. Hilo siyo jambo zuri kabisa kwenye mchezo unahitaji kuvuka kwa aggregate.

Litibiwe mapema hili tatizo."

Mwisho wa kunukuu.
Hiyo ni comment umeitoa kwenye uzi wangu Yanga tuna matatizo ya mipira ya kutengwa
Ambapo nilikuwa nazungumzia madhaifu ya Yanga katika mipira ya kutengwa hasa timu ikielekea katika mashindano ya CAF champions league mwaka jana 2022.. Zingatia hapo niliposema "aggregate " kwasababu mimi ni mtu wa mpira najua athari ya kuruhusu goli ni shida linapokuja swala la aggregate na ndicho kilichokuja kutokea tukatolewa na Al hilal na kwenye CAFCC magoli mengi Yanga ilifungwa kwa mipira ya kutengwa hapo mwanzoni rejea mechi ya Monastir, Tp Mazembe.
Kwahiyo nilichokiandika kwenye huo uzi kilienda kutokea kwenye michuano ya CAF. Una lingine kabla sijaenda kwenye comment nyingine?
 
Sikushangai maana najuaga una kichwa kigumu mixed na ukweli kuwa ulishaapa kwa katiba ya Yanga kuwa bishana hadi ufe. Halafu hauna hata chembe ya aibu. Najua umesoma ukaona jinsi post zako mwenyewe zilivyokuumbua unatafuta pa kutokea haupaoni. Sasa hivi unabeti nichoke nikuache.

Soma hapa ulipokuwa dalali wa IFFHS

Back
Top Bottom