Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #201
KabisaNi aibu kwa soccer ya Tanzania
Naunga mkono hoja 🤣😁kwa ihefu inavyocheza kuna mimtu inasema wamehongwa!..😂
halafu wanaolalamika walilambwa 5
Kama hii iliyopigwa tano iliponunuliwa na MO tuu tukajua hakuna kitu
kwa ihefu inavyocheza kuna mimtu inasema wamehongwa!..😂
halafu wanaolalamika walilambwa 5
Wala haina mvuto sababu nilikuwa sijazaliwa
🐸🐸🐸 Unashabikia timu iliyoanzishwa na kupigwa kabla hujazaliwa 🐸🐸Wala haina mvuto sababu nilikuwa sijazaliwa
Kama tulivyowahongaHawa wamehongwa