FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

Kama niliwahi kusema Mudathiri hana kiwango bora mnisamehe , si unajua tena siku hazifanani siku ingine iluna hela siku nyingine huna unakuwa na mihasira hasira unaropoka
Kufunga anatulia vizuri ila ana uchoyo wa kipumbavu pia hajui kutoa pass assistance.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
😅😅😅😅ukiangalia Komenti za Simba unacheka tu... Yaani huwa wanaumia yanga kuifunga timu tofauti na Simba!!. Basi
Hata nyie ni vile vile msijifanye nyie mnatutakia heri sana bana... 😊 😊
 
Umeuliza swali kwa kutumia matako bila shaka?
Jibu swali wewe mbumbumbu,je Simba ilipopigwa kono la nyani na Yanga GSM iliwapa hela?
 

Attachments

  • FB_IMG_17092318215078852.jpg
    FB_IMG_17092318215078852.jpg
    297.5 KB · Views: 3
Kumbe unafuatilia mechi ya hii? Nikajua umepuuza?. Ama kweli vizuri haviziliwi😋😋.
Hata nyie ni vile vile msijifanye nyie mnatutakia heri sana bana... 😊 😊
 
Shika adabu yako ikushike na ushikamane wewe na adabu yako kijana!

[emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kumbe unafuatilia mechi ya hii? Nikajua umepuuza?. Ama kweli vizuri haviziliwi😋😋.
Nawaachaje sasa wenyewe humu? Nipo kuwapa kampani utopolo watani zetu..mm siko kideoni naona kupitia comments za wadau...
 
Back
Top Bottom