FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

Nimeona kwenye Instagram ya Ihefu,admin kaweka Yanga 1 vs Ihefu halafu chini akaandika Goal Pacome '' Dk 10'' nikaona hapa hata kocha wao Ihefu half time ataenda kuchekea chooni
 
Kama niliwahi kusema Mudathiri hana kiwango bora mnisamehe , si unajua tena siku hazifanani siku ingine iluna hela siku nyingine huna unakuwa na mihasira hasira unaropoka
 
667CFD6F-F91D-4245-82C1-D6E6CDD61982.jpeg
 
Tatizo la simba ,badala ya kuipigania timu yenu,mjue mnakosea wapi NYIE KUTWA KUISEMA NA KUIJADILI YANGA...NA KUJIFANANISHA NAYO...WAKATI IMEWAACHA KWA MBALI MNOO KWA SASA...POLENI SANA,NENDA KAKOJOE UKALALE ..
Futuhiiiii
 
Simba hadi mseme, ile tar 5/11 mlihongwa bei gani, maana ndiyo timu iliyofungwa magoli mengi na Yanga. Hiyo ina maanisha dau lilikuwa kubwa, sasa mje mseme.
 
Back
Top Bottom