FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

Mi nadhhani kuna muda wachezaji wa singida big stars(ihefu)huwa wanashangaa sana mpira wa bongo..

Imagine mtu anakuja bongo kucheza soka ila mechi na yanga,(marouf tchakei,onyango,duke abuya,chukwu morice,)na wengine wanaomilikiwa na mwigulu wanaambiwa wacheze chini ya kiwango,ili yanga ishinde afu anayesema ni mmiliki wa timu na hela anawapa.

Ila Tz kila kitu uhuni uhuni tuu,anyways kesho ihefu akipata hata on target 2 mnidai milioo
Ndio kichaka chenu kipya chakujifichia iki [emoji3][emoji3][emoji3] yani unaona maajabu ihefu kufungwa wakati wewe umepigwa 5
 
Hivi kuna mtu yupo humu anadhani mwigulu gang itashinda?hahahhahahaha mpira wa bongo buana
 
Back
Top Bottom