Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Sawa.View attachment 2931817
Uto hawapendi historia.. hii ni sehemu ya historia yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.View attachment 2931817
Uto hawapendi historia.. hii ni sehemu ya historia yenu
Wanazo basi? Tulishawatobia spika hao wanakaa kwa kuubana muda woteNanyie muwe mnamtuma spika au naibu spika.........
Mwambie admn wa Simba aawaaidi Wenzao wa 5GNawaachaje sasa wenyewe humu? Nipo kuwapa kampani utopolo watani zetu..mm siko kideoni naona kupitia comments za wadau...
View attachment 2931817
Uto hawapendi historia.. hii ni sehemu ya historia yenu
Haya chukueni kombe lenu la HistoriaView attachment 2931817
Uto hawapendi historia.. hii ni sehemu ya historia yenu
Mmebaki na historia ambapo tuloshawanyoosha 2012Ndio hivyo si unaziona hizo 5G kama zile za November
wakati Simba anatandikwa goli 5 mwigulu alikuwa pamoja na Simba Kambini?
Vipi kuhusu hapa MzeeZile tano mlizokula nani alitembelea kambi yenu?
Naona aibu, kuna yule aliyefungwa 5 naona safari hii atakuja kufungwa 10.Tunamsubiria mwingine tumpige mkono
Wengine tulikuwa hatujazaliwa huo mwakaMmebaki na historia ambapo tuloshawanyoosha 2012
Ila Deportivo de Utopolo mna roho ngumu sana. Yaani mmekaa kabisa mnashangilia matokeo haya?Pole. Mara inaisha kwa sare. Mara ya mipango,tushike lipi?. Nakuambia leo hii. Ukitaka uishi maisha marefu,acha kubana ma**ko kwa YANGA hii ikicheza jamaa yangu,utapasua.
😂😂😂 Utajificha wapi?Naona aibu, kuna yule aliyefungwa 5 naona safari hii atakuja kufungwa 10.
Sijui aibu nitaificha wapi!
Wewe Kama mke wake twambie maana unajua ratiba zake kunbe! ,😅😅Swali ni Moja tu Mwigulu alienda kufanya nini Jana Usiku Kambi ya IHEFU
View attachment 2931818
Sema chochote mama ntakutetea mahakamani.Nashindwa niseme nini uwiiiii!💚💚💚💚💚💪💪💪💪💪💪💪
Tulia wewe kisasi kimeshalipwaIla Deportivo de Utopolo mna roho ngumu sana. Yaani mmekaa kabisa mnashangilia matokeo haya?
Mmebaki na historia ambapo tuloshawanyoosha 2012
Ila Deportivo de Utopolo mna roho ngumu sana. Yaani mmekaa kabisa mnashangilia matokeo haya?