Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Umesema sare. Mara mnashangilia matokeo haya?. Kwa YANGA hii mtateseka sana. Mtanena kila aina ya maneno. Mtabadiri kila aina ya mikao.Ila Deportivo de Utopolo mna roho ngumu sana. Yaani mmekaa kabisa mnashangilia matokeo haya?
Nani wanateseka?Poleni sanaaaa kwa kutesekaaa ๐๐๐๐ช๐ช๐ช
mpira haujafika kwenye msitari var inahitajika
Kwahiyo tushangilie zile 1 : 2 za wajelajela..??Ila Deportivo de Utopolo mna roho ngumu sana. Yaani mmekaa kabisa mnashangilia matokeo haya?
๐ธ๐ธ Wana hatimiliki ya magroup huko whatsapp japo wao huyaita 'channel' hayo magroup ๐๐..halafu uzi wa Yanga kwani una hati miliki?.
babu kamera ya nyuma ndio inaonyesha vizuri sio gori lile var inaumuhimu wake
Kama unayo weka hiyo kamera ya nyuma kama sivyo ujinga ni tatizo la baadhi yenu!babu kamera ya nyuma ndio inaonyesha vizuri sio gori lile var inaumuhimu wake
kuwa na hekima kabla hujaanza kutukana watu hovyo ustahimilivu ni hulka ya upevukaji kama binadamu aliekamilika.Kama unayo weka hiyo kamera ya nyuma kama sivyo ujinga ni tatizo la baadhi yenu!
Leta kamera ya nyuma jinga wewekuwa na hekima kabla hujaanza kutukana watu hovyo ustahimilivu ni hulka ya upevukaji kama binadamu aliekamilika.
haya angalia hapo kamera za kila angle utaonyeshwa na utajionea kuwa sio goli.
View: https://youtu.be/sx3LcvMflJw?si=OfImbcaW9bQbefrS
Mtani utalia vbya sana tabeba kombe mbele yako back to back mpaka Mo arudi BombayHaijaisha mpk iishe...
๐ we kweli pimbi hamna kitu kwenye hilo kopo!Leta kamera ya nyuma jinga wewe
Rekodi imeandikwa๐๐Inatakiwa waingie kwenye rekodi ya 5 kama walivyobtuliwa Simba,KMC.....Na vibonde wengine
Tulia weweKuna kauli moja nimekuwa naitumia mara kwa mara, "ni rahisi kuwa muhuni kuliko kuwa mtakatifu"
Haikuwa goli hiikuwa na hekima kabla hujaanza kutukana watu hovyo ustahimilivu ni hulka ya upevukaji kama binadamu aliekamilika.
haya angalia hapo kamera za kila angle utaonyeshwa na utajionea kuwa sio goli.
View: https://youtu.be/sx3LcvMflJw?si=OfImbcaW9bQbefrS
Kwani simba anadhaminiwa na gsm?unawaza kwa kutumia nini mzee?au hata hujaelewa point yangu hapoJibu swali wewe mbumbumbu,je Simba ilipopigwa kono la nyani na Yanga GSM iliwapa hela?