Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Umesema sare. Mara mnashangilia matokeo haya?. Kwa YANGA hii mtateseka sana. Mtanena kila aina ya maneno. Mtabadiri kila aina ya mikao.Ila Deportivo de Utopolo mna roho ngumu sana. Yaani mmekaa kabisa mnashangilia matokeo haya?