Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Wanatamani kusema Ihefu mbovu au kahongwa lakini wanashindwa sababu wakikumbuka zile 5G wanameza ulimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatamani kusema Ihefu mbovu au kahongwa lakini wanashindwa sababu wakikumbuka zile 5G wanameza ulimi.
kama tulivyofanya 5 November wakati tunawapiga kono la nyaniUtopolo wanafanya vitu vya kitoto mno.
Huku nako Tanesco shidaHata najua basii mi nimeona hapo kwenye ubao wa uzi tu Tanesco walichotufanya leo sio poaa kabisa
cc Smart911
Hainogi nilikuwa sijazaliwa hii
Yaniii tanesco sio kabisaIla tanesco wana roho mbaya sana
Leo wamejua kututesa aseeHuku nako Tanesco shida
Wataita maji mmaPelekea moto wa khamsa.
mwaka huu mpaka uishe tuna magoli mpaka hatuna pa kuyabeba
Wale tanesco sijui wametokea kizazi kipi joto hili usiku huu basi tu, nchi niyakusadikikaIla tanesco wana roho mbaya sana