Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1-2Ngapi huko mkuu?
69'Kwani dkk bado ngapi mpira uishe??
Safi.
🤣🤣🤣🤣kwamba mpila ndo unaanza or...?
Pigaa hao japo naiona sare sare leoBado Dk 19
Safi kabisa.
Tunawataka na msikimbieeeYanga wapumbavu kama wengine tu, fiston ni wakucheza dk 70, halafu unataka matokeo. Jinga kabisa hata kocha tu.
Kwa hali hii upeleke timu kucheza na mikia si unapigwa 7 kabisa.
Mzee Mpili atamvisha mtu nguo nyeupe leo.hii game ikiisha hivihivi hata ikiwa draw wekeni bando la kutosha kwa ajili ya you tube.... shikhalo na fiston watauliwa na maneno ya wazaramo leo