FT: Yanga vs Mwadui (3-2) | VPL | Benjamin Mkapa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakomae mwaduii sasa
 
Yanga wapumbavu kama wengine tu, fiston ni wakucheza dk 70, halafu unataka matokeo. Jinga kabisa hata kocha tu.
Kwa hali hii upeleke timu kucheza na mikia si unapigwa 7 kabisa.
 
Reactions: Lee
Yanga wapumbavu kama wengine tu, fiston ni wakucheza dk 70, halafu unataka matokeo. Jinga kabisa hata kocha tu.
Kwa hali hii upeleke timu kucheza na mikia si unapigwa 7 kabisa.
Tunawataka na msikimbieee
 
Halafu cha kuchekesha zaidi Mwadui wanacheza vile kama wako tu kwenye bonanza, hawana hata stress 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…