FT: Yanga vs Mwadui (3-2) | VPL | Benjamin Mkapa

FT: Yanga vs Mwadui (3-2) | VPL | Benjamin Mkapa

Acha waendelee kuwa na matumaini la sivyo ligi itapoa sana
Yanga waendelee kushinda
 
Hizo Goli 2 ndani ya dakika 1 tungezipata simba..Tungebatizwa majina mengi..miamala Fc...etc.
 
Daah hii mechi pale taifa kila mwanayanga alikuwa kamaliza matusi yote daah, tulitepeta kabisa 🤣🤣......Fiston tulipigwa
 
Back
Top Bottom