Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Namuona Mapinduzi Balama nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeisha hiyooooooIddi Kipagwire anapoteza nafasi ya kusawazisha
Sio kujipendekeza hiyo inaitwa sacrifice yani kujitoa muhanga ufe ili wengi waponeHivi ukifanya kazi nzito na inayo stahili malipo, halafu ukajiamulia tu mwenyewe kuifanya for free! si ndiyo kujipendekeza kwenyewe huko sasa!
yanga hao bila shakaGoaaaaaaaaaaallllllllllll
Uhuni mwingiiiiKuna janja janja sana kwenye huu mpira wa bongo
Ndo maana simba haikomalii hii ligi
51' Djuma Shaban anaiandikia Yanga goal la pili kwa kichwa baada ya kina maridadi ya Chico Ushindi huku Juma Kaseja akitelezaGoaaaaaaaaaaallllllllllll
Muamala ushasomaKaseja bana.
Yupo kwenye Honeymoon, alifunga ndoa.Leo sijamuona saido hapo kwenye first 11 why?