Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
-
- #301
Naaam, ni Djuma Shabanyanga hao bila shaka
Huyo ni duka la Yanga, na kengine ni kale kajamaa kalikoshindwa mpira Zambia (Kessy).Kaseja bana.
Mwana utopolo mwenzangu, unalionaje duka letu leo? (Kaseja)
No hatukerekiKumbe mnakereka sana eeh na ule mtetemo au ndio mnapenda kimoyomoyo na pengine msikute mnajifungiaga chumbani mkitetema.
Duka halitufai maana ile shuti la Chico Ushindi asingefanya save.Mwana utopolo mwenzangu, unalionaje duka letu leo? (Kaseja)
Kessy Utopolo anaachia