Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
- #161
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo kiongozi.Hayo ndiyo mafanikio yenu?
Yes wanacheza vzur
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii mechi mautopolo wanaangalia wakiwa wamesimama viti vya moto, labda dua za mama zitawaepusha na kipigo cha leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inachangiwa na kukaa muda mrefu bila kucheza, timu bado inakuwa haina fitness nzuriKMC wanaenda kwa speed sana wapatapo mpira kitu ambacho ni hatari kwa Yanga. Halafu Yanga wanapoteza sana mipira ni kama vile hakuna maelewano mazuri mbele
bora iwe hivi hivi maana nimeona wana yanga wengi wamekosa matumaini ya ushindi baada ya KMC kuwa na kasi na kufika mara nyingi golini kwao30'
0-0
Umeanza kuchanganyikiwaNitapata wapi hizi jezi za Yanga zenye picha ya mama?