Mwamba anaenda kuchapiwa leo daah kaweka mke kweli?

Ila naona ngumi zitawaka hapa, tatizo watu wengi wanachochea moto mke akaliwe... Kuna mashabiki wa Yanga wengi mno na wa Simba, ngoja lazima moto utawaka ha haaaa, ila akimuacha mke wake ndio aibu hatarudia tena ku bet hadi mke..
 
Ila kwakuwa refa ni wetu, ataongeza dakika mbili au tatu ili atunusuru na balaa la Mazembe
Wapongeze Yanga mkuu. Kwa dk nyingi wamekuwa wakiongoza, hizi dakika za nyongeza hazibadili uhalisia kuwa wamekuwa bora kwa dk nyingi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…