Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana point 3 ni muhimu sanaTutajutia sanaa
Mm Simba 🦁 mpira uisheeeUtopolo mnawaogopa rejects wenu tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au unasikiliza mpira kupitia TBC TaifaYamekuwa hayo
Mwamba anaenda kuchapiwa leo daah kaweka mke kweli?Points 3 is as good as 100 goods, muhimu points 3
Tatizo la kupara magoli ya mapema ya kubahatisha🫣🫣Refaaa maliza mpira...
Yap, ndo maana sijasema haiwezekani, nimesema sio rahisi.Mpira dakika 90 mkuu
Wa nchi gani[emoji848][emoji848]Mm Simba [emoji881] mpira uisheee
[emoji1][emoji1][emoji1] ilo la kubahatisha nyinyi mlilikosa janaTatizo la kupara magoli ya mapema ya kubahatisha🫣🫣
Mpira uisheee tu 😂 tuondoke na point 3Tatizo la kupara magoli ya mapema ya kubahatisha🫣🫣
Mwamba anaenda kuchapiwa leo daah kaweka mke kweli?
Huenda timu A ipo klabu bingwa ?..😂😂Tp mazembe timu B
Wapongeze Yanga mkuu. Kwa dk nyingi wamekuwa wakiongoza, hizi dakika za nyongeza hazibadili uhalisia kuwa wamekuwa bora kwa dk nyingi zaidi.Ila kwakuwa refa ni wetu, ataongeza dakika mbili au tatu ili atunusuru na balaa la Mazembe