Tuwekeeni msimamo wa kundi sasa 😁😁😁
 
Wanayanga tugawe majukumu yaeleweke wataoenda Tabora kwa mama yetu mkuu wa mkoa kuchukua ile milioni tatu wajulikane na watakaokwenda kizimkazi zanzibar kuchukua milioni 15 wafahamike halafu watakaosoma shukrani kwa niaba ya mashabiki na timu nzima waeleweke pia,
 
Hongera Kwa yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…