Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata huyo. Kuna mwingine aliapa kuwa shoga eti, iwapo Yanga itashinda!! 🤔Kuna mwamba alisema ataacha kutumia jf yanga wakishinda ngoja tufukue makaburi
Tk masteeeeeeer 😁
Omba msamahaMayele kwenye pasi ziro kabisa
Tumempoteza mwanaume mmojaBora hata huyo. Kuna mwingine aliapa kuwa shoga eti, iwapo Yanga itashinda!! 🤔
Huyo angetupa kitu adimu ndiyo ingenogaKuna mwamba alisema ataacha kutumia jf yanga wakishinda ngoja tufukue makaburi
Tumetajirikaaaaaaa😂😂😂😂Ongeza milioni tatu za Mkuu wa mkoa wa Tabora mama yetu alituahidi,
Unafikiri Yanga itakuwa inashikiria mkia kama simba!!Tuwekeeni msimamo wa kundi sasa 😁😁😁
Hongera Kwa yangaYoung Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika.
Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi.
Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk mchezo huo utakaofanyika saa 1 usiku.
Mchezo umeanza
5' Yanga wameanza kwa kasi kubwa wakitafuta goli la mapema
7' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Yanga wanapata goli la kwanza, kupitia kwa Musonda
10' Kasi ya mchezo inaongezeka
13' GOOOOOOOOOOOOOOO
Mudathir anaipatia Yanga goli la pili
16' Mzembe wanaonesha utulivu na kuanza kujipanga
25' Kasi ya mchezo imepungua tofauti na ilivyoanza
30' Yanga wanaonesha uimara wa kuzuia lango lao
38' Mayele anakosa nafasi ya wazi baada ya kuukosa mpira karibu na lango
41' Mazembe wanaendelea kujipanga
45' Mazembe wanapata kona
MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kimeanza
47' Musonda anakaa chini kuonesha ameumia
50' Mazembe wanapata kona, inapigwa inaokolewa
53' Azizi Ki anaingia kuchukua nafasi ya Musonda
54' Mazembe wanapata kona, inapigwa inaokolewa na kuwa kona nyingine
58' Diarra anapangua shuti kali langoni kwake inakuwa kona
66' Anatoka Mudathir anaingia Tuisila Kisinda
79' GOOOOOOOOOOOOOOOOO
Ngonga anaipatia Mazembe goli la kwanza kwa shuti la faulo
86' Mabadiliko kwa Yanga, anatoka Moloko na Bangala
Wanaingia Clement na Zawadi Mauya
90' Goooooooooooooooooo
Kisinda anafunga goli la tatu akimalizia pasi ya Mayele
tulijua mapemaaaa ushindi huutunashinda 3 kwa 1
Kipenda leo kula 15, mil mpyaaaaa
Nisamehe TuisilaOmba msamaha
He is a King