Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Huyu hapaBora hata huyo. Kuna mwingine aliapa kuwa shoga eti, iwapo Yanga itashinda!! π€
Ni ubashiri tu nimejua leo gemu Yanga lazima washinda tu na maono yangu yalikua ni 2-1 au 3-1 sio uchawi ni maono πHongera hii ulipenyezewa za ndaaaaaaaani na bibi[emoji3][emoji3][emoji3]
Jumlisha na zile tatu za mkuu wa mkoaMilioni 15 za mama !
Mwezi wa nneKwani makolo tunacheza nao lini?,
Kama nimeanza kuwatamani hivi[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukran Mtani. Huu ni mwanzo tu.Hongera mtani Shadeeya Bantu Lady kwa kuwakilisha vyema nchi
Acha nongwaIla Bakari Nondo sio beki wa mechi za kimataifa
Shukran Mtani. Huu ni mwanzo tu.
[emoji120][emoji120]
vp muda huu..??Yangaa ya manyonii
Ila Bakari Nondo sio beki wa mechi za kimataifa
You're a sportmanWapongeze Yanga mkuu. Kwa dk nyingi wamekuwa wakiongoza, hizi dakika za nyongeza hazibadili uhalisia kuwa wamekuwa bora kwa dk nyingi zaidi.
Msimamo huu hapaUnafikiri Yanga itakuwa inashikiria mkia kama simba!!
Heshima kwako mkuu...!!Bao ni 2-1 wakikoswakoswa basi ni 3-1
Young African WIN
Hivi wanapewa cash au