FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

Attachments

  • Screenshot_20230219-194116.png
    Screenshot_20230219-194116.png
    23.2 KB · Views: 1
Kuna shabiki wa Simba analia huku kamng'ang'qnia mke wake hataki kumtoa na alibeti Yanga ikishinda anamtoa mke wake akaliwe ni makelele hapa, sasa watu wa Yanga wanasema Jay Jay akamle jamaa badala ya mke, ngoja tuone ni makelele hapa, huu mpira wa Yanga jamani ni hatari msichezee Yanga nyie... 😂😂😂

Subiri ngoja nitulize vurugu hapa, nitawamudu fasta, maana bila kuingilia kati hapa hali ya hewa itaharibika, ngoja nitumie nguvu zangu kuokoa jahazi, maana Shabiki wa Simba atalia sana hapa atashindwa kurudi hii bar..
 
Back
Top Bottom