wamelowaaaaa
 
Jiheshimu, hili siyo jukwaa la machawa wa chama mambuzi, huku kuna watu wenye akili timamu.

Usituletee ukhanisi huku.
 
Wakati Yanga inasajili nyinyi mlikwenda kuzurura Dubai, na wachezaji mliopaswa kusajiri mnawageuza wanasiasa waje wawafanyie kampeni
Za uchaguzi badala ya kuwasajiri.
Matola tulia kwanza, mimi siyo simba! Ila nauliza kama Mwana Yanga! Goli la 3 lilitaka kuthibitisha imejengeka kidogo. Tuone mchezo mwingine wa kimataifa maana sikuwa Nategemea TP Mazembe ifungwe hapa Tanzania.
 
Ila mpira wa Congo bado sana, yaani wanafungwa hadi na Uto! Last time I checked niliona Congo ilifungwa goli 9-0 na ka nchi fulani kanainaitwa Yugoslavia kwenye kombe la dunia.
 
Matola tulia kwanza, mimi siyo simba! Ila nauliza kama Mwana Yanga! Goli la 3 lilitaka kuthibitisha imejengeka kidogo. Tuone mchezo mwingine wa kimataifa maana sikuwa Nategemea TP Mazembe ifungwe hapa Tanzania.
Hiyo ndio approach ya home group, next game Yanga inacheza away approach ya game za away ni tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…