FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

Attachments

  • IMG-20230220-WA0035.jpg
    IMG-20230220-WA0035.jpg
    34.5 KB · Views: 1
Ila mpira wa Congo bado sana, yaani wanafungwa hadi na Uto! Last time I checked niliona Congo ilifungwa goli 9-0 na nchi fulani inaitwa Yugoslavia kwenye kombe la duniia.
Congo juzi wametoka chan sisi Tanzania tulichemka
 
Jiji limenoga mpaka basi.
Baada ya kubwa jinga kulidhalilisha Taifa hapo jana, leo wananchi wametupa uhuru.
Mashabiki wote wa soccer hapa Tanzania tumepata uhuru.
Hongera ziwaendee wachezaji wote na benchi la ufundi kwa ujumla.

Kuna wakati uwa unanifurahisha
 
Ila mpira wa Congo bado sana, yaani wanafungwa hadi na Uto! Last time I checked niliona Congo ilifungwa goli 9-0 na ka nchi fulani kanainaitwa Yugoslavia kwenye kombe la dunia.
Congo bado kwa Tanzania yetu au? Kumbuka walikuwa kwenye mtoano timu 10 za mwisho kuelekea kombe la dunia.
 
Back
Top Bottom