mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,983
- 6,171
Hata mkifungwa !?Si Mchezo yaani hata tukifungwa tayari tushawaonyesha makolo maana ya Kwa mkapa hatoki mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mkifungwa !?Si Mchezo yaani hata tukifungwa tayari tushawaonyesha makolo maana ya Kwa mkapa hatoki mtu.
Hahahaaa. Hakika Mkuu.Nimesikia kelele chache sana ,nikajua tu yanga wameshinda ,kama wangefungwa kelele zingekuwa nyingi sana ubana umiza.
Million 5 ya kwanza ishaliwa...Tunaitaka hela
we n......... kitambo sema unatafuta namna ya kujielezaYanga ikishinda mm shoga
Hamna kipya mtakacho fanya ambacho Simba hajawahi kufanya..
Mkuu angalia vizuri ni goli la kifua bhanaKennedy Musonda anaitanguliza Yanga kwa bao la kichwa