FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
⚽️ Young Africans SCπŸ†šAzam FC
πŸ“† 02.11.2024
🏟 Azam Complex
πŸ•– 12:00 Jioni
20241101_234318.jpg


Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC
20241102_172651.jpg

Mpira umeanza
Dakika ya 3
Yanga SC wanashambulia kwa kasi

Dakika ya 5
Dube anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 14
Max anafanyiwa madhambi

Dakika ya 17
Aziz k anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 21
Baka kapewa nyekundu

Dakika ya 30
Yng 0-0 Azm

Dakika ya 31
Azam wanapata goli

Dakika ya 42
Max anakosa goli la wazi

Dakika ya 45+2
HT

Dakika ya 52
Aziz k anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 58
Yanga wanafanya mashambulizi

Dakika 71
Anatoka Aziz k anaingia pacome


Dakika ya 87
Feisal kafanyiwa madhambi

Dakika ya 90+7
FT
 
Back
Top Bottom