FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

Wavunja kuni hawa wanachojua kuikamia Yanga na kucheza rafu,hawa wajinga walituvunjia Pacome na Yao kabla kukutana na Mamelodi. Kuna huyu mpuuzi Sospeter Banyana anacheza rafu za kijinga sana.

Tunajua kukamia kunatokana na nini kwani leo tunacheza na timu mbili na ndio maana wanakuwaga wagumu ila wanaishiaga kupigwa.
 
Azam watatangulia kupata goli, fei atakata viuno kwa furaha......kitakachofatia sasa Yanga itaibuka na kufunga goli moja atachukua azam moja watachukua simba.
Yanga haichezagi na timu moja

kila laheri chama la ushindi 💚💛💚💛
 
Mbona Kama malalamiko mmeanza mapema aisee.
 
PRESS YA LEO BAADA YA MECHI, GAMONDI UTASIKIA TEAM YANGU ILIKUWA NA UCHOVU MWINGI WA MECHI MFULULIZO....
Na wewe utakuja na Press yako hapa JF ukiwalalamikia GSM.
 
Kila la kheri chama langu Young africans sc 💛💚💛

#DaimaMbele 💛 #NyumaMwiko 💚
 
464103763_1104919611205339_4872074416005818532_n.jpg
 
Pigeni mnooo yanga hao wanatusumbua usiku
 
Back
Top Bottom